Ijumaapili - 6 Novemba
Fetch error
Hmmm there seems to be a problem fetching this series right now. Last successful fetch was on December 25, 2022 19:16 ()
What now? This series will be checked again in the next day. If you believe it should be working, please verify the publisher's feed link below is valid and includes actual episode links. You can contact support to request the feed be immediately fetched.
Manage episode 346268896 series 2707785
Karibu kwenye taarifa yetu ya khabari kutoka Dawati la Khabari lilioko Maskati, Oman.
Unaweza kupokea taarifa zetu za khabari kupitia Apple Podcasts, Google Podcasts, CastBox, OverCast na vituo vyengine vya Podcasts. Unachotakiwa kufanya ni kupakia Podcasts yoyote kati ya hizo kwenye simu na ikisha, kutafuta Khabari za Oman na kujisajili kwenye mkondo wetu. Hii ndiyo njia bora kabisa ya kutusikiliza kila siku kwa sababu utapata taarifa moja kwa moja na mapema zaidi kwenye simu yako. Tafadhali wapashe na wengine khabari hii.
Ukiwa na masuala au fikra maalumu kukhusu matangazo haya ya khabari na utapenda kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie kwa kutumia anuani hii: karibu@sauti.om
Ahsanteni sana na kila la khair.
944 episoade