MJA public
[search 0]
Mai Mult
Download the App!
show episodes
 
Artwork
 
Huu ni wasaa wa kukutana na wageni mbalimbali watakaokuwa wakifika katika studio zetu na kuzungumza moja kwa moja yaani LIVE. Ni mjadala wa kila Jumatano asubuhi ambao utagusa masuala muhimu yanayoibuka ndani na nje ya Bara la Afrika katika nyanja tofaut itofauti. Mjadala wa wiki ni wasaa utakaokuzungusha dunia nzima kupitia mawimbi ya RFI Kiswahili.
  continue reading
 
Loading …
show series
 
Nytt avsnitt ute och denna gången med succémålvakten Carljohan Eriksson. Vi pratar igenom Calles säsonger 2018, 2019, 2020 och 2021, vi pratar om de olika tränarna, Milos, Lantz, Järdler och Torstensson och massa mer!Ett fullspäckat avsnitt med inte bara en fantastisk fotbollsspelare utan också en fantastisk människa. Enjoy!…
  continue reading
 
Rais wa DR Congo Felix Tshisekedi amewaambia viongozi wa dunia kuwa uchaguzi mkuu utafanyika nchini mwake mwaka 2023 kama ilivyopangwa kikatiba.Kauli hii pia imeungwa mkono na spika wa Bunge la kitaifa huko DRC Chistophe Mboso Nkodia wakati wa Mkutano wake na Raia kwenye mji wa Kinshasa Siku ya Jumapili iliyopita.Hata hivyo Tume ya Uchaguzi inayota…
  continue reading
 
Kwenye Mjadala wa wiki, tunaangazia hali ya kisiasa nchini Guinea na nini sababu za kutokea mapinduzi ya serikali barani Afrika. Swala ni kwa nini imejengeka dhana kwamba kiongozi anayeng'ang'ania madaraka mwisho wake siku zote ni mapinduzi ya kijeshi, nini kifanyike ili ifike mahali demokrasia na watawala waheshimu katiba za nchi zao? Mjadala wa w…
  continue reading
 
Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kuongea mbele ya umati wa watu basi sehemu ya podcast ya leo itabadilisha maisha yako. Katika sehemu hii nimemualika mzungumzaji mashuhuri hapa Tanzania Coach James kumwaga madini ya namna ya kubobea katika hii profession. Hakikisha una kalamu na karatasi na enjoy darasa la leo.…
  continue reading
 
Loading …

Ghid rapid de referință