Artwork

Content provided by KENEDY THE REMEDY and Kenedy The remedy. All podcast content including episodes, graphics, and podcast descriptions are uploaded and provided directly by KENEDY THE REMEDY and Kenedy The remedy or their podcast platform partner. If you believe someone is using your copyrighted work without your permission, you can follow the process outlined here https://ro.player.fm/legal.
Player FM - Aplicație Podcast
Treceți offline cu aplicația Player FM !

Kenedy The Remedy Podcast

Distribuie
 
Manage series 2518856
Content provided by KENEDY THE REMEDY and Kenedy The remedy. All podcast content including episodes, graphics, and podcast descriptions are uploaded and provided directly by KENEDY THE REMEDY and Kenedy The remedy or their podcast platform partner. If you believe someone is using your copyrighted work without your permission, you can follow the process outlined here https://ro.player.fm/legal.
Podcast by Kenedy The remedy
  continue reading

12 episoade

Artwork

Kenedy The Remedy Podcast

updated

iconDistribuie
 
Manage series 2518856
Content provided by KENEDY THE REMEDY and Kenedy The remedy. All podcast content including episodes, graphics, and podcast descriptions are uploaded and provided directly by KENEDY THE REMEDY and Kenedy The remedy or their podcast platform partner. If you believe someone is using your copyrighted work without your permission, you can follow the process outlined here https://ro.player.fm/legal.
Podcast by Kenedy The remedy
  continue reading

12 episoade

Toate episoadele

×
 
Je dhana ya Ujasiriamali inaeleweka kwa wanafunzi??? Je wanafunzi wanakuwa na mtazamo gani? Kenedy alipata nafasi ya kuzungumza na wanafunzi wa shule katika kufahamu maana ya ujasiriamali. Podcast Hii The Remedy alifanya mahojiano mafupi kufahamu hawa wanafunzi wa shule wanaelewa nini kuhusiana na ujasiriamali. Je wewe ni Mjasiria Mali? Wanafunzi wa Shule wanaelewa nini kuhusiana na ujasiria mali?…
 
Mitandao ya Kijamii imekuwa inashika nafasi kubwa sana kwa vijana wengi na kuna mengi ambayo yanaweza kuzungumziwa na mtu akasikiliza na kujifunza mengi. Mada ya leo imejaribu kuchunguza mengi na kutazama kwa upana mambo mbalimbali yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii. Usikose kufuatilia Episodes zangu mbalimbali ambapo najaribu kugusiana mambo yanayogusa vijana wa Kiswahili. Popote pale duniani endelea kufuatilia na usisahau ku-subscribe channel yangu. Asante sana na Halla at yaaaa'll. Bless!…
 
Katika dunia ya sasa ya mitandao ya kijamii, kuna mengi sana yanaendelea kuhusiana na siasa. Pia vijana wengi wamekuwa wakitumia mitandao ya kijamii kujifunza mengi yanayojiri na kutoa uhuru wa mawazo yao. Ni tofauti na miaka ya zamani ambapo watu walikuwa hawana mitandao hii ya kijamii. Kuna mengi ya kuona kwa sasa, kutazama jinsi vijana wanavyotumia mitandao na kujifunza mengi kupitia kizazi cha sasa. Fuatilia podcast hii kuona kujua zaidi.…
 
Kwa mwaka huu kuna watumiaji wengi wa mitandao ya kijamii wameongezeka, na watu wengi wanafikiria kufanya biashara zao na kuzikuza kutokana na uwepo wa mitandao hii. Je kwa vijana ni nini ambacho tunapaswa kutegemea mwaka huu? Facebook, Twitter, n.k wanategemea kuleta features/vitu gani vipya kwa kukuza mitandao yao? Fuatilia hii katika Episode hii na utaona kuna mengi ambayo yametokea na kutazama mipango mbalimbali ambapo inaweza kukusaidia wewe kijana. Karibu sana. Usisahau ku-subscribe our best poooooodcast!!!!!!11…
 
Loading …

Bun venit la Player FM!

Player FM scanează web-ul pentru podcast-uri de înaltă calitate pentru a vă putea bucura acum. Este cea mai bună aplicație pentru podcast și funcționează pe Android, iPhone și pe web. Înscrieți-vă pentru a sincroniza abonamentele pe toate dispozitivele.

Ghid rapid de referință

Listen to this show while you explore
Play