…
continue reading
1
Tanzania:Juhudi za wabunifu katika kupunguza hewa ya ukaa kutunza mazingira
9:59
9:59
Redă mai târziu
Redă mai târziu
Liste
Like
Plăcut
9:59
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Masuala na Utalii, katika taarifa ya misitu na ufugaji nyuki inabainisha kuwa mkaa ni chanzo kikubwa cha nishati ya kaya katika maeneo ya mijini kwa kupikia na kupasha joto, kwa kuwa inachukuliwa kuwa ya bei nafuu na inapatikanakwaurahisi. Inakadiriwa kuwa asilimia 85 ya watu wote wa Tan…
…
continue reading
1
Fursa za uchumi wa buluu zilizopo katika Ziwa Victoria
9:59
9:59
Redă mai târziu
Redă mai târziu
Liste
Like
Plăcut
9:59
Uchumi wa Buluu ni dhana pana yenye kubeba maana nzima ya kutumia kila rasilimali itokanayo na rasilimali maji kama Bahari, mito na maziwa. Dhana hii ubeba shuguli mbalimbli ikiwemo utalii, uvuvi, kilimo cha mwani, bandari pamoja na mafuta na gesi zilizomo baharini au katika maziwa. Kwa wakazi wa Jumuiya ya Afrika mashariki hasa katika mikoa inayo …
…
continue reading
1
Magonjwa ya figo Afrika Mashariki
9:59
9:59
Redă mai târziu
Redă mai târziu
Liste
Like
Plăcut
9:59
Wagonjwa wengi barani Afrika wanahisi kuwa gharama ya matibabu ya figo ipo juu zaidi.De către RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Sehemu ya pili: Mradi wa kilimo unaofadhiliwa na AFD mjini Arusha
9:59
9:59
Redă mai târziu
Redă mai târziu
Liste
Like
Plăcut
9:59
Mradi wa kilimo endelevu unatanua mbawa zake sio tu katika kilimo bali pia kuwajengea uwezo wakulima kufanya shuguli za ufugaji. Mradi huu unatekelezwa kwa ufadhiri wa shirika la maendeleo la Ufaransa AFD katika mkoa wa Arusha nchini Tanzania unakwenda mbali zaidi hadi kuwafikia wanamazingira. Mafuzo wanayopata wanasema yamekuwa chachu yakubadili M…
…
continue reading
1
Utekelezaji wa miradi inayofadhiliwa na shirika la maendeleo la Ufaransa (AFD)
9:58
9:58
Redă mai târziu
Redă mai târziu
Liste
Like
Plăcut
9:58
Karibu Katika Makala ya Afrika mashariki hii leo inatuwama katika Mkoa wa Arusha palipo makao makuu ya Jumuiya ya Afrika mashariki tukiangaza juu ya miradi ya kilimo endelevu inayotekelezwa kwa ufadhili wa Shirika la maendeleo la Ufaransa AFD.De către RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Changamoto zinazotokana na migumo ya wahudumu wa sekta ya usafiri Afrika
9:59
9:59
Redă mai târziu
Redă mai târziu
Liste
Like
Plăcut
9:59
Raia wengi wa mataifa ya Afrika Mashariki hutegemea pakubwa sekta ya usafiri wa umma kusafiri kutoka sehemu moja hadi nyengine.De către RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Simulizi ya maisha ya aliyekuwa rais wa Tanzania, Hayati Hassan Mwinyi
9:58
9:58
Redă mai târziu
Redă mai târziu
Liste
Like
Plăcut
9:58
Historia ya rais mstaafu wa Tanzania, hayati Hassan Mwinyi wakati wa uhai wake.De către RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Heshima aliyopewa hayati Julius Nyerere
9:59
9:59
Redă mai târziu
Redă mai târziu
Liste
Like
Plăcut
9:59
Mwalimu Julius Nyerere alifanya kazi kwa bidii kuona kuwa Afrika inakuwa kitu kimoja.De către RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Tanzania: Simulizi ya maisha ya waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa
9:59
9:59
Redă mai târziu
Redă mai târziu
Liste
Like
Plăcut
9:59
Mwandishi wetu wa Mwanza Martin Nyoni anaangazia maisha ya kisiasa ya aliyekuwa waziri mkuu wa zamani nchini Tanzania Edward Lowassa.De către RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Kufungwa kwa mpaka kati ya nchi za Rwanda na Burundi
9:59
9:59
Redă mai târziu
Redă mai târziu
Liste
Like
Plăcut
9:59
Changamoto za kufungwa kwa mpaka kati ya Rwanda na BurundiDe către RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Harakati mpya za vikosi vya SADC mashariki ya DRC
9:56
9:56
Redă mai târziu
Redă mai târziu
Liste
Like
Plăcut
9:56
Vikosi vya SADC vinapelekwa mashariki mwa DRC kusaidia kurejesha amani. Hatua inayokuja baada ya kuondoka kwa vile vya Afrika Mashariki ambavyo vilituhumiwa na serikali ya Kinshasa kushindwa majukumu yao.De către RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Muhula wa pili wa rais Felix Tshisekedi nchini DR Congo
9:57
9:57
Redă mai târziu
Redă mai târziu
Liste
Like
Plăcut
9:57
Makala ya wiki hii yanaangazia ahadi za rais Felix Tshisekedi katika muhula wake wa pili kama kiongozi wa DRC.De către RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Kufunguliwa kwa shule nchini Tanzania
9:16
9:16
Redă mai târziu
Redă mai târziu
Liste
Like
Plăcut
9:16
Wanafunzi wengi katika mataifa ya Afrika Mashariki wamerejea shuleni wiki hii.De către RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Hatua Somalia kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki
9:59
9:59
Redă mai târziu
Redă mai târziu
Liste
Like
Plăcut
9:59
Wachambuzi wa mambo wanasema kuwa hatua ya Somalia kujiunga na EAC, itaisaidia katika vita dhidi ya makundi ya watu wenye silahaDe către RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Wanawake katika sanaa ya uchoraji nchini Tanzania
9:59
9:59
Redă mai târziu
Redă mai târziu
Liste
Like
Plăcut
9:59
Makala ya wiki hii yanaangazia namna wanawake nchini Tanzania wamegeukia sanaa hii ya uchoraji.De către RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Uelewa wa wananchi wa Mwanza kuhusu mvua za El Nino
9:59
9:59
Redă mai târziu
Redă mai târziu
Liste
Like
Plăcut
9:59
Baadhi ya mataifa ya Afrika Mashariki yameendelea kufanya maandalizi kuelekea mvua za El Nino.De către RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Nishati inachangia asilimia kubwa kwa ukuaji wa Uchumi wa mataifa
9:56
9:56
Redă mai târziu
Redă mai târziu
Liste
Like
Plăcut
9:56
Sekta ya Nishati ndiyo mhimili muhimu wa maendeleo ya taifa lolote lile, Mathalan takwimu zinaonesha, mahitaji ya juu ya umeme yameongezeka ambapo serikali ya Tanzania inasema kuwa muelekeo ni kuongeza katika Gridi ya Taifa MW 218.67 na kufikia MW 1,913.22 ifikapo mwishoni mwa mwaka 2022/23.De către RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Biashara ya samaki na dagaa jijini Mwanza nchini Tanzania.
9:59
9:59
Redă mai târziu
Redă mai târziu
Liste
Like
Plăcut
9:59
Makala ya wiki yanaangazia namna wanawake waendeleza biashara ya samaki nchini TanzaniaDe către RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Tanzania: Jamii zinavyo shiriki katika utunzaji wa hifadhi ya Ruaha
9:58
9:58
Redă mai târziu
Redă mai târziu
Liste
Like
Plăcut
9:58
Jamii zinavyo shiriki katika utunzaji wa hifadhi ya RuahaDe către RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Juhudi za kusambaza umeme nchini Tanzania
9:59
9:59
Redă mai târziu
Redă mai târziu
Liste
Like
Plăcut
9:59
Zaidi ya watu milioni mia tano kusini mwa jangwa la sahara wanakabiliwa na tatizo la umeme.De către RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Nafasi ya muungano wa BRICS kwa mataifa ya Afrika
9:59
9:59
Redă mai târziu
Redă mai târziu
Liste
Like
Plăcut
9:59
Viongozi wa kundi la mataifa ya BRICS - Brazil, Russia, India, China na Afrika Kusini hvi karibuni wamekutana mjini Johannesburg nchini Afrika kusini na ajenda muhimu mezani ikiwa ni kukubali ombi la kuongeza wanachama wapya ndani ya muungano huo. Tunaangazia mkutano huu wiki hii.De către RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Vijana na ushiriki wa fursa ndani ya Afrika mashariki
9:59
9:59
Redă mai târziu
Redă mai târziu
Liste
Like
Plăcut
9:59
Namna Jumuiya ya Afrika Mashariki inawapa vijana nafasi na fursa za kujiendeleza kimandeleo.De către RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Juhudi za muungano wa makabila kusaka amani DRC
9:59
9:59
Redă mai târziu
Redă mai târziu
Liste
Like
Plăcut
9:59
Ukabila umetajwa kuwa mojawapo ya mambo yanayochangia katika utovu wa usalama nchini DRCDe către RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Mgogoro wa Kenya na athari kwa uchumi Afrika
9:49
9:49
Redă mai târziu
Redă mai târziu
Liste
Like
Plăcut
9:49
Makala ya wiki yanaangazia athari za kiuchumi zinazotokana na maandamano ya kupinga kupanda kwa gharama ya maisha nchini Kenya kwa bara AfrikaDe către RFI Kiswahili
…
continue reading