Artwork

Content provided by Iran.Tanzania. All podcast content including episodes, graphics, and podcast descriptions are uploaded and provided directly by Iran.Tanzania or their podcast platform partner. If you believe someone is using your copyrighted work without your permission, you can follow the process outlined here https://ro.player.fm/legal.
Player FM - Aplicație Podcast
Treceți offline cu aplicația Player FM !

Kumbukizi ya Miaka miwili ya Luteni Jenerali Qassem Suleimani 3 January 2020

10:07
 
Distribuie
 
Manage episode 337502595 series 3382153
Content provided by Iran.Tanzania. All podcast content including episodes, graphics, and podcast descriptions are uploaded and provided directly by Iran.Tanzania or their podcast platform partner. If you believe someone is using your copyrighted work without your permission, you can follow the process outlined here https://ro.player.fm/legal.

kumbukizi ya miaka 2 ya shujaa mpigania haki na amani Haj Qassem Suleimani, ambapo aliuiliwa Shahidi na Majeshi dhalimu ya Marekeni mjiini Baghdad nchini Iraq. Kamanda Soleimani ambaye amepewa lakabu ya bwana wa mashahidi wa muqawama, katika umri wake wote uliojaa baraka na akiwa kamanda wa IRGC, alikuwa mstari wa mbele kuyasaidia na kuyaunga mkono mataifa yote yanayodhulumiwa ya Waislamu, bila ya kujali ni mataifa ya watu gani. Muhimu kwake muda wote ilikuwa ni kupigania Uislamu na mafundisho sahihi ya Qur'ani Tukufu. Shujaa huyu (Qassem Soleimani) alizaliwa tarehe 11 Machi 1957, katika kijiji cha Qanat-e Malek, Mkoa wa Kerman nchini Iran. Baada ya kumaliza masomo akiwa na umri wa miaka 18, alihamia mjini Kerman na huko aliajiriwa na Shirika la Maji la mji huo. Wakati wa harakati za mapinduzi ya Kiislamu zikiwa zimepamba moto, Qassem Soleimani alifahamiana na mwanachuoni mmoja wa kidini aliyeitwa Sheikh Reza Kamyab aliyetoka mji wa Mashhad, ulioko kaskazini mashariki mwa Iran na kwenda mjini Kerman kulingania dini, sanjari na kuelezea dhulma na ukandamizaji unaofanywa na utawala wa kifalme dhidi ya wananchi wa matabaka mbalimbali nchini humo. Kuhusiana na mauaji hayo, Ripota Maalumu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa (UN), Agnès Callamard amesema kuwa, mauaji ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani ni ugaidi wa kiserikali wa Marekani na yalikiuka sheria za kimataifa na hati ya Umoja wa Mataifa. Msimamo huo wa Umoja wa Mataifa umewakasirisha sana maafisa wa serikali ya Marekani ambao waliharakisha kutetea kitendo cha mauaji hayo. Callamard ameongeza kuwa, Marekani imeshindwa kutoa ushahidi wa kutosha wa kuyapa nguvu madai yake kwamba kamanda Soleimani alikuwa tishio kwa taifa hilo. Nchi kadhaa za Kiislamu na zisizokuwa za Kiislamu, Umoja wa Mataifa na jumuiya mbalimbali za kutetea haki za binadamu duniani zililaani kitendo hicho cha kigaidi cha Marekani dhidi ya afisa wa ngazi za juu wa jeshi la Iran. Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea

--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/irantanzania/message
  continue reading

12 episoade

Artwork
iconDistribuie
 
Toate episoadele

×
 
Loading …

Bun venit la Player FM!

Player FM scanează web-ul pentru podcast-uri de înaltă calitate pentru a vă putea bucura acum. Este cea mai bună aplicație pentru podcast și funcționează pe Android, iPhone și pe web. Înscrieți-vă pentru a sincroniza abonamentele pe toate dispozitivele.

Ghid rapid de referință