Miaka 20 Kwenye Game na Bado Anakimbiza
Manage episode 447024221 series 3548086
Karibu kwenye #MsasaPodcast! Tunamkaribisha Jay Moe, mkongwe mwenye zaidi ya miaka 20 ya uzoefu katika kuburudisha Watanzania kwa nyimbo zenye mafumbo na ujumbe mkali kupitia muziki wa rap. Tutachambua safari ya muziki na mabadiliko ya tasnia ya muziki wa Bongo toka miaka ya nyuma mpaka sasa. Mazungumzo haya ni ya kuhamasisha, tukitazama mabadiliko, changamoto, na mafanikio katika entertainment industry!
🎧 Mgeni: Juma Mchopanga a.k.a Jay Moe
🎙 Mwenyeji: Elisha Simon a.k.a Hisiatz
Jiunge kwa maarifa kuhusu:
#Inspiration #Entrepreneurship #BusinessSuccess #StreetSmarts #Hustle #Marketing #SuccessMindset #PersonalGrowth #MsasaPodcast #BongoFlavor #bongohiphop
Ungana nasi kwenye MSASA PODCAST 🎙:
MSASA PODCAST 🎙 :
Website: https://neiked.co.tz/msasa/
Follow the MSASA PODCAST channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VaFg...
Podcast Streaming: https://www.buzzsprout.com/2288412/share
Explore the podcast
31 episoade